Mfahamu Mtakatifu Martha Dada yake na Lazaro aliyefufuliwa na Bwana wetu Yesu Kristo.
Update: 2025-07-28
Description
Karibu katika kipindi cha Tafakari ya Bikira Maria, Mwezeshaji ni Mhshamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba leo anatuongoza kuangazia maisha ya Mtakatifu Martha.
Mtangazji wako ni Beatrice Audax
L'articolo Mfahamu Mtakatifu Martha Dada yake na Lazaro aliyefufuliwa na Bwana wetu Yesu Kristo. proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel