Ninawezaje kuwasaidia masikini wakati mimi pia ni msikini?
Update: 2025-08-07
Description
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, Swali linahoji hivi; Kanisa linahimiza kuwasaidia watu masikini, sasa mimi nitawezaje kuwasaidia wakati mimi mwenyewe ni masikini? Na je Matajiri hawahitaji kusaidiwa?
Swali limejibiwa na Frateri Peter Peter kutoka Jimbo Kuu Katoliki Dodoma.
Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu
L'articolo Ninawezaje kuwasaidia masikini wakati mimi pia ni msikini? proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel