Je, unafahamu Ishara ya njia ya msalaba ilifundishwa na nani?
Update: 2025-08-05
Description
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, swali linahoji hivi;
Sala ya Baba yetu ilifundishwa na Bwana wetu Yesu Kristo, Je, ishara ya njia ya msalaba katika Kanisa ilifundishwa na nani?
Swali limeulizwa na Laurent Michael kutoka Jimbo Katoliki la Sumbawanga
Na limejibiwa na Frateri Daudi Fungameza kutoka Parokia ya ya Songwe Jimbo Kuu Katoliki Mbeya
Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu
L'articolo Je, unafahamu Ishara ya njia ya msalaba ilifundishwa na nani? proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel