Fahamu sababu ya kuweka Msalaba katika kaburi la Mkristo.
Update: 2025-08-01
Description
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, maswali yatakayojibiwa yameulizwa na Judith kutoka Jimbo Kuu la Dar es Salaam akihoji hivi;
- Kwanini kwa Wakristo mtu akifariki wanawekewa Msalaba kwenye kaburi?
- Naomba kuelewa, maana ya nadhiri, na pia inaweza kuondolewa na mtu au na Mungu?
Yanajibiwa na Frateri Barnabasi Myushi, kutoka Parokia Bikira Maria Mpalizwa mbinguni – Ujewa Jimbo Katoliki la Mafinga
Mtangazaji wak ni Esther Magai Hangu
L'articolo Fahamu sababu ya kuweka Msalaba katika kaburi la Mkristo. proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel