Fahamu utaratibu wa kufunga ndoa ndani ya kanisa Katoliki (Sheria namba 1112 -1118)
Update: 2025-08-05
Description
karibu katika kipindi cha Sheria za Kanisa, kinaandaliwa na kuletwa kwako na Padre Ladislaus Mgaya, Mtaalamu na Mwanasheria wa sheria za kanisa Kutoka Jimbo Katoliki Njombe anaendelea kufundisha kuhusu taratibu za kufunga ndoa (Sheria namba 1112 -1118)
Mtangazaji wako ni mimi Esther Magai Hangu
L'articolo Fahamu utaratibu wa kufunga ndoa ndani ya kanisa Katoliki (Sheria namba 1112 -1118) proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel