Je, unafahamu Msalaba ni nguvu ya wokovu wetu?
Update: 2025-07-30
Description
Ungana nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja anapoendelea kufundisha juu ya thamani ya ukombozi wetu.
L'articolo Je, unafahamu Msalaba ni nguvu ya wokovu wetu? proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel