fahamu nyenzo anazotumia Roho Mtakatifu kutugusa na kugusa wengine.
Update: 2025-08-03
Description
karibu usikilize kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa ambapo Mhashamu Josaphat Lui Lebulu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha anafundisha juu ya nyenzo anazotumia Roho Mtakatifu kutugusa na kugusa wengine.
kukualika kwa niaba yake mimi ni Joyce Jonatus.
L'articolo fahamu nyenzo anazotumia Roho Mtakatifu kutugusa na kugusa wengine. proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel