DiscoverSiha NjemaJuhudi za kikanda kukabiliana na tatizo la kiafya la kungatwa na nyoka
Juhudi za kikanda kukabiliana na tatizo la kiafya la kungatwa na nyoka

Juhudi za kikanda kukabiliana na tatizo la kiafya la kungatwa na nyoka

Update: 2024-10-29
Share

Description

Kumekuwa na mikakati maksudi katika nchi za Afrika kuwekeza katika utafiti kuhusu nyoka  na matibabu ya simu yake 

Baadhi ya mikakati hiyo ni utafiti wa kuwa na aina moja ya dawa ambayo inaweza kutumika katika nchi za Afrika Mashariki vile vile kuelimisha jamii kuhusu huduma za kwanza sahihi kuwasaidia wagonjwa na namna ya kuzuia madhara zaidi kutokana na sumu ya nyoka.

Comments 
loading
In Channel
loading
00:00
00:00
1.0x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Juhudi za kikanda kukabiliana na tatizo la kiafya la kungatwa na nyoka

Juhudi za kikanda kukabiliana na tatizo la kiafya la kungatwa na nyoka

RFI Kiswahili

We and our partners use cookies to personalize your experience, to show you ads based on your interests, and for measurement and analytics purposes. By using our website and our services, you agree to our use of cookies as described in our Cookie Policy.