DiscoverSiha NjemaMataifa ya Afrika yashinikiza mwongozo wa kukabiliana na hali ya dharura
Mataifa ya Afrika yashinikiza mwongozo wa kukabiliana na hali ya dharura

Mataifa ya Afrika yashinikiza mwongozo wa kukabiliana na hali ya dharura

Update: 2024-05-29
Share

Description

Mataifa wanachama wa shirika la afya duniani ,WHO yanayokongamano katika kongamano la afya ya 77 jijini Geneva yanataka kuwepo mwongozo wa afya kukabiliana na hali ya dharura baada ya janga la COVID 19

Mataifa haya yanasisitiza kuwepo usawa kwenye kuzalisha na matumizi ya sampuli za kutengeneza sampuli zinazochangiwa na nchi mbali mbali

Aidha usawa kwenye ufadhili ,usambazaji wa chanjo mpya na chanjo zinazotumika wakati wa majanga

Kongamano hilo pia linatazamiwa kuja na mwafaka kuhusu marekebisho kwenye sheria za afya za mwaka 2005

Comments 
In Channel
loading
00:00
00:00
x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Mataifa ya Afrika yashinikiza mwongozo wa kukabiliana na hali ya dharura

Mataifa ya Afrika yashinikiza mwongozo wa kukabiliana na hali ya dharura

RFI Kiswahili