DiscoverSiha NjemaSimulizi kuhusu ugonjwa wa Endometriosis unaowasababishia wanawake maumivu
Simulizi kuhusu  ugonjwa wa Endometriosis unaowasababishia wanawake  maumivu

Simulizi kuhusu ugonjwa wa Endometriosis unaowasababishia wanawake maumivu

Update: 2024-07-24
Share

Description

Ugonjwa wa Endometriosis hudhihirika msichana anapovunja ungo na huja na maumivu makali kabla ,wakati na hata baada ya hedhi

Lilian Leley ameishi na maumivu hayo kwa zaidi ya miaka thelathini.Amefanya upasuaji mara mbili na anatazamiwa kwenda kwenye operesheni nyingine hivi karibuni katika kujaribu kutafuta tiba ya ugonjwa wa Endometriosis

Anasimulia masaibu yake ,ambapo anasema ndani ya mwezi huenda ni mzimu tu kwa siku 10

Comments 
In Channel
loading
00:00
00:00
x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Simulizi kuhusu  ugonjwa wa Endometriosis unaowasababishia wanawake  maumivu

Simulizi kuhusu ugonjwa wa Endometriosis unaowasababishia wanawake maumivu

RFI Kiswahili