DiscoverSiha NjemaMPOX yatangazwa janga la dharura la kiafya baada ya kasi ya maambukizi kuzidi
MPOX yatangazwa  janga la dharura la kiafya baada ya kasi ya maambukizi kuzidi

MPOX yatangazwa janga la dharura la kiafya baada ya kasi ya maambukizi kuzidi

Update: 2024-08-20
Share

Description

Shirika la afya duniani ,WHO na taasisi ya kudhibiti magonjwa ya umoja wa Afrika ,CDC zililazimika kuchukua uamuzi mzito wa kutangangaza MPOX dharura ya kiafya

Mataifa 16 ya Afrika kati ya 55 yameripoti visa vya MPOX mwaka huu ,CDC ikisema maambukizo yamepanda hadi asilimia 160 mwaka huu ukilinganishwa na mwaka 2023

Virusi vya MPOX vimeripotiwa kujibadilisha  na kwa sasa msambao hatari wa virusi sugu zaidi unahusishwa na ngono

Comments 
In Channel
loading
00:00
00:00
x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

MPOX yatangazwa  janga la dharura la kiafya baada ya kasi ya maambukizi kuzidi

MPOX yatangazwa janga la dharura la kiafya baada ya kasi ya maambukizi kuzidi

RFI Kiswahili