DiscoverSiha NjemaDunia yaadhimisha siku ya ugonjwa wa ngozi - Vitiligo
Dunia yaadhimisha siku ya ugonjwa wa ngozi - Vitiligo

Dunia yaadhimisha siku ya ugonjwa wa ngozi - Vitiligo

Update: 2024-06-29
Share

Description

Vitiligo ni hali ya ngozi ambapo madoa meupe au mabaka yanaonekana. Inaweza kuathiri mtu yeyote, ikiwa ni pamoja na watoto na vijana. Sio hatari, si kama saratani ya ngozi au maambukizi unayoweeza kupata na kwa hiyo huwezi kuipata kutoka kwa mtu mwingine.

Watu wengi wenye vitiligo wana afya nzuri. Baada ya muda, mabaka zaidi yanaweza kuonekana kwenye sehemu tofauti za mwili, hata kwenye nywele au ndani ya kinywa na pua. Mara nyingi huanza katika maeneo yaliyopigwa na jua. Takriban 1% ya dunia ina vitiligo

Comments 
In Channel
loading
00:00
00:00
x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Dunia yaadhimisha siku ya ugonjwa wa ngozi - Vitiligo

Dunia yaadhimisha siku ya ugonjwa wa ngozi - Vitiligo

RFI Kiswahili