DiscoverSiha NjemaYafahamu makundi tofauti ya mafuta ya kula,ubora ,madhara na matumizi yake.
Yafahamu  makundi tofauti ya mafuta ya kula,ubora ,madhara na matumizi yake.

Yafahamu makundi tofauti ya mafuta ya kula,ubora ,madhara na matumizi yake.

Update: 2025-10-15
Share

Description

Kuanzia yale ya nazi hadi mizeituni, mboga hadi kanola, parachichi hadi mafuta ya wanyama maswali yameibuka kuhusu tunajuaje yapi mazuri ya kutumia, na ikiwa tunapaswa kuepuka yoyote yale kabisa

Watalaam wa afya wanahoji mafuta ni kiungo muhimu katika mwili wa binadaam kwa  kuwa huchangia madini muhimu na pia husaidia utendakazi wa viungo muhimu mwilini.

Hata hivyo wanashauri mafuta kutumika kwa kiasi ili kuzuia mwili kujilimbikizia mafuta  haswa ya Cholestrol ambayo yanaweza kusababisha mishipa ya kupitisha damu kuziba ,kusababisha saratani,shinikizo la damu na magonjwa ya moyo

Katika orodha ya mafuta,kuna mafuta yanayotokana na mimea ,wanyama na yale yanayozalisha viwandani maarufu kama Trans Fats

Maamuzi ya kutumia mafuta gani ,hata hivyo yanategemea ubora wake ,kazi ya mafuta na mapishi ya mtu

Mafuta ya wanyama japo ni asilia yanapaswa kutumika kwa kiasi kidogo mno .

Mafuta ya uto haswa ya mimea ni mazuri ila yanaweza kuharibika ikiwa utachanganyika na hewa ya oksijeni  au yanapotumika kwa kurudiwa rudiwa.

Comments 
loading
In Channel
loading
00:00
00:00
1.0x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Yafahamu  makundi tofauti ya mafuta ya kula,ubora ,madhara na matumizi yake.

Yafahamu makundi tofauti ya mafuta ya kula,ubora ,madhara na matumizi yake.

RFI Kiswahili