Je unafahamu namna vyakula unavyokula njiani au hotelini vinaandaliwa vipi?
Update: 2025-09-20
Description
Vyakula vinavyoandaliwa nje ya jikoni kwangu huwezi kufahamu viwango gani vya usafi vimezingatiwa
Unapoaumua unakula kwa mama nitilie ni vigezo gani unaweza ukaweka ili kuhakikisha unalinda afya yako? Alfred Lobawoi kwenye makala haya ,amewahoji wauza vyakula na walaji kujua mtazamo wao
Comments
In Channel




