Mzigo wa usugu wa vimelea tishio kubwa kwa mifumo ya afya barani Afrika
Update: 2025-12-13
Description
Matibabu mengi licha ya kupendekezwa au kuorodheshwa sahihi ,yanakabiliwa na usugu wa vimelea tatizo linalofanya dawa hizo kushindwa kutibu inavyotakikana
Dawa za kutibu Malaria ,TB na Kipindu Pindu zimetajwa kuathirika sana ,haswa dawa aina ya antibiotics ambazo hutumika kuwa matibabu ya kwanza ya kuua vimelea.
Comments
In Channel




