DiscoverSiha NjemaAjali za barabara Afrika huchangiwa na utepetevu, kasi na msongo wa mawazo
Ajali za barabara  Afrika huchangiwa na utepetevu, kasi na msongo wa mawazo

Ajali za barabara Afrika huchangiwa na utepetevu, kasi na msongo wa mawazo

Update: 2024-04-23
Share

Description

Ajali za barabara huchangia vifo vingi vya watu walio katika umri kati ya miaka mitano hadi 29 kwa mujibu wa WHO

Uchunguzi unaofanywa baada ya ajali huonesha madereva wengi hulaumi kufeli kwa breki ilhali wengi wana msongo wa mawazo ,imesema mamlaka ya usalama barabarani nchini Kenya ,National Transport and Safety Authority.

Ongezeko la magari,mchipuko wa miundo mbinu bora na ongezeko la watu yanazidi kufanya uwezekano wa mtu kuhusika kwenye ajali  kuwa mkubwa.

Comments 
In Channel
loading
00:00
00:00
x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Ajali za barabara  Afrika huchangiwa na utepetevu, kasi na msongo wa mawazo

Ajali za barabara Afrika huchangiwa na utepetevu, kasi na msongo wa mawazo

RFI Kiswahili