Kwa nini ni muhimu kuyachunguza maziwa unayotumia nyumbani kulinda afya yako
Update: 2025-05-03
Description
Kumekuwa na malalamishi ya maziwa yaliyo kwenye soko kusababisha madhara ya kiafya
Watalaam wa afya ,bodi inayosimamia bidhaa za maziwa nchini Kenya na wanavetirinari wanasema matatizo hayo huenda yanatokana na uzembe wakati wa uchakataji maziwa ,uhifadhi na pia wafanyabiashara wenye pupa.
Comments
In Channel