Sera ya Kenya kuhakikisha raia wake wanafanya mazoezi kila mara
Update: 2025-06-25
Description
Takwimu zinaonesha watu wengi kupatwa na magonjwa yasiyoambukizwa kutokana na kuishi bila kufanya mazoezi na kula vibaya
Sera hii itatoa mwongozo wa taasisi za serikali na binafsi kuweka mikakati ya kuruhusu mazoezi ya kila mara wakati wa kazi au nje ya kazi
Comments
In Channel