DiscoverSiha NjemaMwili wako unavyowasiliana kupitia utendakazi wake na kukupa onyo kukiwa tatizo
Mwili wako unavyowasiliana kupitia utendakazi wake na kukupa onyo kukiwa tatizo

Mwili wako unavyowasiliana kupitia utendakazi wake na kukupa onyo kukiwa tatizo

Update: 2025-06-20
Share

Description

Kila siku mwili wako hukuzungumzia na ni jukumu lako kusoma mwili wako na kuelewa unasema nini au unakuonya kuhusu nini

Baadhi ya matatizo ambayo unaweza kujiepusha nayo ni matatizo ya afya ya akili ,kufeli viungo muhimu au mifumo yako ya afya.

Na ili kuhakikisha mwili wako unazungumza na kutoa taarifa iliyo sahihi kuna baadhi ya vitu unaweza kufanya kwa mfano kupata muda wa kutosha kulala,kupata lishe bora  na kufanya mazoezi 

Comments 
In Channel
loading
00:00
00:00
x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Mwili wako unavyowasiliana kupitia utendakazi wake na kukupa onyo kukiwa tatizo

Mwili wako unavyowasiliana kupitia utendakazi wake na kukupa onyo kukiwa tatizo

RFI Kiswahili