Serikali ya Kenya yazingatia afya ya akili miongoni wa vikosi vya usalama
Update: 2025-07-10
Description
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amesema polisi wenye changamoto za afya ya akili hawatafukuzwa kazi bali watapewa matibabu stahiki
Kumeshuhudiwa hivi karibuni visa vya polisi kutumia silaha zao visivyo na utendakazi wao kukosolewa na raia pamoja na wanaharakati wa haki
Comments
In Channel