DiscoverSiha NjemaMipango tofauti ya matibabu ya matatizo ya Tezi koo ambayo hutumika Afrika
Mipango tofauti ya matibabu ya matatizo ya Tezi koo ambayo hutumika Afrika

Mipango tofauti ya matibabu ya matatizo ya Tezi koo ambayo hutumika Afrika

Update: 2025-05-28
Share

Description

Kabla mgonjwa yeyote kuanzishwa kwenye  matibabu, awe ana tatizo la tezi koo kuzalisha homoni kupitiliza au kushindwa kuzalisha, ni sharti vipimo maalum kufanyika

Kipimo cha kwanzo ni inaangazia homoni tofauti inayozalishwa na tezi koo na hii mtu yeyote anaweza kufanya katika wakati wa kufanya vipimo kujua hali yake ya afya ,hapa mtu si lazima awe ameonesha dalili za tezi koo kuwa na tatizo.

Kipimo cha pili ambacho ni muhimu huzingatia zaidi  viwango vya  homoni tatu muhimu zinazozalishwa na tezi koo ambayo ni  (TSH), thyroxine (T4), na  triiodothyronine (T3) .

Matokeo yataamua ni mpango gani wa matibabu mgonjwa atapewa  dawa,kudhibiti homoni au kuzalisha homoni mbadala tezi koo inaposhindza kazi yake.

Kando na dawa kama mpango wa matibabu ,wagonjwa wenye uvimbe wanaweza kushauriwa kufanya upasuaji kuondoa tezi koo ,sehemu yake au yote.

Kuna pia mpango wa kutumia mianzi na madini ya Iodine maarufu kama Radioiodine mpango ambao ni sharti kufanywa kwa ueledi mkubwa na kwenye vituo vya afya vilivyo na vifaa vya viwango vya juu.

Comments 
In Channel
loading
00:00
00:00
x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Mipango tofauti ya matibabu ya matatizo ya Tezi koo ambayo hutumika Afrika

Mipango tofauti ya matibabu ya matatizo ya Tezi koo ambayo hutumika Afrika

RFI Kiswahili