DiscoverSiha NjemaMfano wa Misri wa kupambana na Malaria unaweza kutumika na mataifa ya Afrika
Mfano wa Misri wa kupambana na Malaria unaweza kutumika na mataifa ya Afrika

Mfano wa Misri wa kupambana na Malaria unaweza kutumika na mataifa ya Afrika

Update: 2025-05-13
Share

Description

Misri imepambana kwa karibu miaka 100 kabla kupata cheti cha WHO cha kufaulu kutokomeza Malaria Oktoba 2024

Katika mkakati ambao umetumia Misri kuangamiza Malaria ni udhibiti wa Mbu,ambapo serikali iliwekeza kwenye kupiga dawa kwenye maeneo yanayoweza kuwa makazi ya mbu .

Ufuatiliaji na ubainishaji wa haraka  umechangia pia pakubwa kuushinda ugonjwa wa Malaria ,mkakati ambao pia jamii ilibidi kushirikishwa.

Kitengo cha afya ya umma kimekuwa kikifanya hamasisho kwa wanajamii kukumbatia mbinu za kuzuia mbu kwa kutumia vyandarua na pia kupata matibabu ya haraka mtu anapoonesha dalili za Malaria.

Comments 
loading
In Channel
loading
00:00
00:00
x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Mfano wa Misri wa kupambana na Malaria unaweza kutumika na mataifa ya Afrika

Mfano wa Misri wa kupambana na Malaria unaweza kutumika na mataifa ya Afrika

RFI Kiswahili