Discover
Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania
Author: Radio Maria Tanzania
Subscribed: 96Played: 208Subscribe
Share
© All rights reserved
Description
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio.
Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu
Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu
1563 Episodes
Reverse
Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Jukwaa la Vijana, mwezeshaji Daktari Katanta Lazarus Simwanza, Mshauri mwandamizi wa maswala ya afya ya uzazi, malezi na familia lakini pia ni Mwenyekiti wa watoa huduma za afya wakatoliki Jimbo Kuu la Dar es salaam, anazungumzia juu ya vijana na changamoto ya afya ya akili.
L'articolo Fahamu changamoto ya afya ya akili kwa vijana. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Elimu Jamii, Wawezeshaji ni Dokta Apiov Lwiwa kiongozi THF-Morogoro , Bi.Mary Gilbert Masudi Mratibu wa THF pamoja na Bi. Mariana Consalves kutoka Mfuko wa Hisani wa Kusaidia Mahitaji ya Kibinadamu Tanzania.
L'articolo Fahamu historia ya Tanzania Humanitarian Fund (THF), Mfuko wa Hisani wa kusaidia Mahitaji ya Binadamu Tanzania na utendaji kazi wake. proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini , Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba, ambapo ameendelea kujibu maswali mbalimbali yaliyoilizwa na msikilizaji. Mtangazaji ni Patrick Pascal Tibanga – Radio Mbiu
L'articolo Amri 10 za Mungu zimeandikwa wapi katika Biblia Takatifu? proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, Swali linahoji hivi; Kanisa linahimiza kuwasaidia watu masikini, sasa mimi nitawezaje kuwasaidia wakati mimi mwenyewe ni masikini? Na je Matajiri hawahitaji kusaidiwa? Swali limejibiwa na Frateri Peter Peter kutoka Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu
L'articolo Ninawezaje kuwasaidia masikini wakati mimi pia ni msikini? proviene da Radio Maria.
Kipindi Cha Mbiu ya Heri MADA ni Matumaini katika Mateso kadiri ya maandiko Matakatifu katika Maisha ya Mkristo. Mafundisho haya yanatolewa na frateri Fransic Kulamiwa, Kutoka Seminari ya familia Takatifu Mwendakulima, yeye anatoka Jimbo Kuu Katoliki Mwanza.
L'articolo Biblia inatufundisha nini katika kuvumilia na kupokea Mateso na changamoto katika maisha? proviene da Radio Maria.
Msikilizaji mpendwa karibu uungane na Frater Justine Galus Mwanaka, Kutoka Jimbo Katoliki Iringa, Mseminari katika Seminari Kuu ya Kitaifa ya Familia Takatifu Mwendakulima, Jimbo Katoliki Kahama ambapo anatufundisha juu ya fadhila ya msamaha, ni kupitia kipindi cha Mbiu ya Heri. Karibu sana.
L'articolo Ifahamu fadhila ya msamaha katika Maandiko Matakatifu proviene da Radio Maria.
Msikilizaji mpendwa karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi Cha Uraibu, ambacho huandaliwa na kuletwa kwetu na Padre Richard Matanda Tesha Kutoka Jimbo Katoliki Moshi, katika kipindi hiki Padre Matanda amezungumzia juu ya “Uchunguzi na tathimini katika utegemezi wa matumizi ya dawa za kulevya”. Karibu kwa Elimu zaidi.
L'articolo Zifahamu chunguzi na tathimini katika utegemezi wa matumizi ya dawa za kulevya proviene da Radio Maria.
Karibu msikilizaji mpendwa usikilize kipindi cha Kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), ambapo Sista Anagladness Mrumah, katibu wa Shirika la Utoto Mtakatifu Taifa, anazungumzia kwa undani juu ya mada hiyo. Mimi ni Happiness Mlewa ninakualika kwa niaba yake
L'articolo Zifahamu Sifa za wazazi wawajibikaji katika kutoa malezi kwa watoto proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa matangazo Radio Maria Tanzania anafundisha juu ya heshima kwa Kanisa Kuu la Bikira Maria Mkuu. Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu
L'articolo Fahamu kuhusu utajiri wa pekee ndani ya Kanisa Kuu la Mama Bikira Maria Mkuu. proviene da Radio Maria.
karibu katika kipindi cha Sheria za Kanisa, kinaandaliwa na kuletwa kwako na Padre Ladislaus Mgaya, Mtaalamu na Mwanasheria wa sheria za kanisa Kutoka Jimbo Katoliki Njombe anaendelea kufundisha kuhusu taratibu za kufunga ndoa (Sheria namba 1112 -1118) Mtangazaji wako ni mimi Esther Magai Hangu
L'articolo Fahamu utaratibu wa kufunga ndoa ndani ya kanisa Katoliki (Sheria namba 1112 -1118) proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, swali linahoji hivi; Sala ya Baba yetu ilifundishwa na Bwana wetu Yesu Kristo, Je, ishara ya njia ya msalaba katika Kanisa ilifundishwa na nani? Swali limeulizwa na Laurent Michael kutoka Jimbo Katoliki la Sumbawanga Na limejibiwa na Frateri Daudi Fungameza kutoka Parokia ya ya Songwe Jimbo Kuu Katoliki […]
L'articolo Je, unafahamu Ishara ya njia ya msalaba ilifundishwa na nani? proviene da Radio Maria.
karibu usikilize kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa ambapo Mhashamu Josaphat Lui Lebulu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha anafundisha juu ya nyenzo anazotumia Roho Mtakatifu kutugusa na kugusa wengine. kukualika kwa niaba yake mimi ni Joyce Jonatus.
L'articolo fahamu nyenzo anazotumia Roho Mtakatifu kutugusa na kugusa wengine. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane na Bwana Richard katika kipindi cha maisha ni safari akielezea akielezea safari ya maisha yake hii ni sehemu ya 2. Mtangazaji wako ni mimi Martin Joseph.
L'articolo Maisha ni Safari (Richard sehemu ya 2) proviene da Radio Maria.
Karibu uungane na Bwana Richard katika kipindi cha Maisha ni Safari akielezea safari ya maisha yake. Mimi ni Mtangazaji wako Martin Joseph.
L'articolo Maisha ni Safari (Richard Sehemu ya 1) proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, maswali yatakayojibiwa yameulizwa na Judith kutoka Jimbo Kuu la Dar es Salaam akihoji hivi; Kwanini kwa Wakristo mtu akifariki wanawekewa Msalaba kwenye kaburi? Naomba kuelewa, maana ya nadhiri, na pia inaweza kuondolewa na mtu au na Mungu? Yanajibiwa na Frateri Barnabasi Myushi, kutoka Parokia Bikira Maria Mpalizwa mbinguni […]
L'articolo Fahamu sababu ya kuweka Msalaba katika kaburi la Mkristo. proviene da Radio Maria.
Ungana nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja anapoendelea kufundisha juu ya thamani ya ukombozi wetu.
L'articolo Je, unafahamu Msalaba ni nguvu ya wokovu wetu? proviene da Radio Maria.
Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha amka na Mama ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku mpya na Bwana, hakika kuimba ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli.
L'articolo Amka na Mama kipindi cha Kawaida cha mwaka (sehemu ya themanini na saba) proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Elimu Jamii, ambapo Sista Angela Jeremiah, Mkurugenzi Kituo cha Utengemao (Mazoezi tiba)cha Antonia Verna – Kawe jijini Dar es Salaam anatoa elimu juu ya Familia kama chanzo cha ulemavu.
L'articolo Je, ni kwa namna gani Familia inakua chanzo cha ulemavu kwa mtoto? proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera anafundisha juu ya thamani ya wowkovu wetu akiangazia kipengele cha nguvu ya wokovu. Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu
L'articolo Fahamu vizuri nguvu ya wokovu wetu proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Tafakari ya Bikira Maria, Mwezeshaji ni Mhshamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba leo anatuongoza kuangazia maisha ya Mtakatifu Martha. Mtangazji wako ni Beatrice Audax
L'articolo Mfahamu Mtakatifu Martha Dada yake na Lazaro aliyefufuliwa na Bwana wetu Yesu Kristo. proviene da Radio Maria.
Comments